Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt - ABNA - Kundi la watetezi wa Palestina walikusanyika mbele ya jengo la Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) na kutaka mechi ya mpira wa miguu kati ya Ufaransa na Utawala Haram wa Kizayuni isifanyike, na kuitaka Serikali bandia ya Kizayuni isimamishe mashambulizi yake dhidi ya Gaza na Lebanon.
6 Novemba 2024 - 16:44
News ID: 1502000